Poetry from Eva Petropolou Lianou

White woman with long hair at the sides of her head, a winter knit cap, and a warm jacket. Black and white photo.
Eva Petropolou Lianou
Mama

 Mother is the doctor for any sickness 
Mama is the country that everyone loves
without conquering
 Mama is joy and sorrow Mama the power
Mama the forgiveness 
One word was created by God To forgive people
 Say it every day
 Call her if they put chains on you
To sweeten it the wound
To bring  peace
My mom, you're unique
 You never told them you were upset With gold I will cherish you 
Chosen person 
 I crown you My mother
 My sun
My compass

©  Eva Petropoulou Lianou
Greece

Mama 

Mama ni daktari kwa ugonjwa wowote ule
Mama ni nchi ambayo kila mtu ana penda 
bila ushindi 
Mama ni furaha na uzuni 
Mama, nguvu 
Mama, musamaha 
Neno muja ila umbwaka na mungu 
Kuwasamehe watu 
Iseme kila siku 
Mwite Kama wana kuzingira minyororo 
Kuweka kidonda afazali
Kuleta amani 
Mama yangu, uko wa pekee 
Aujawezaka wambiye kama umekesirishwa 
Na zahabu nita ku penda na kukujali
Mtu aliye chaguluwa, 
Nakuvisha taji mama yangu 
Juwa yangu 
Muongozo wangu 

"Mama" a poem "Mama" written by Eva Petropoulou Lianou Greece

 Translated into Swahili, the most African spoken language by a Congolese Refugee ©®Charles Lipanda Mahigwe (Malawi)
African Youth Artistic Poetry - AYAP

Charles Lipanda Mahigwe
President



Young Black man in a light blue collared shirt standing at a podium with a microphone. Red wall behind him.
Charles Lipanda Mahigwe
Outline of Africa with a grassy plain, trees, and sun drawn on it. Text in white reads "AYAP African Youth Artistic Poetry."